Sunday 9 June 2013

MANDELA


NELSON MANDELA
Rais wa awamu ya kwanza wa Afrika kusini NELSON MANDELA mwenye umri wa miaka 92 anaendelea vizuri baada ya kupelekwa hospitali anakopatiwa matibabu ya ugonjwa wa mapafu katika mfumo wake wa upumuaji.
Msemaji wa Mandela amesema, hali yake ni njema na anapumua bila ya msaada wa mashine ya kupumulia.Tatizo hilo limechangiwa na ugonjwa wa kifua kikuu alioupata wakati akiwa gerezani wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Taifa hilo..

 Von gasper kwa msaaada wa BBC

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako