Saturday 15 June 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE KIKAO CHA DUA KWA WANAFUNZI WA MWAKA WA 3 MASS COM


 Husna akisoma risala kwa Mgeni rasmi kutoka kwa wanafunzi mwaka wa Tatu, risala hiyo ilisisitiza kuwepo kwa wingi mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa Mawasiliano ya Umma katika chuo cha Waislam Morogoro.
Mlezi wa Wanafunzi Mr Salim Ali akisisitiza jambo kwenye kikao cha kupata dua ya pamoja
Amina kushoto akiwa na Moza
Mgeni Rasmi Mr Siraji akitoa nasaha zake kwa wanafunzi mwaka wa 3 kitivo cha sanaa katika Mawasiliano ya Umma
Maamirat wa MUM wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni Rasmi
Kutoka kushoto, Amina Sangawe, Johar Msabaha, Husna Nurdin, Moza Nofly na Mwanaid Chumu.

Wahitimu wa shahada ya Mawasiliano ya Umma kutoka MUM na wadau wakubwa wa PataPicha wakiwa kwenye picha ya pamoja viongozi na walimu wao mara baada ya kikao kifupi..
Kutoka kushoto waliosimama; Shaban Mapunda (Von Gasperl),Moza Nofly, Amina Sangawe, Abuu Hamsini, Mariam Nina, Husna Nurdin, Mwanaidd Chumu, Abdullah Hamis, Ally Jumbe (Failasufa).
Waliokaa kutoka kushoto; Jaala Makame Haji (CR), Dean of Facult Arts and Humanities Mr Siraji, Mr Nasor Ali, Hamad Simai, Hamis D Hollela (Docx ).

Hapa Jaala Makame akimkabidhi zawadi mlezi wa Wanafunzi MUM Mr Salim Ali…unaweza kuhisi ilikuwa ni zawadi gani!?ukinambia kuna zawadi yako na wewe..!
                           Hapa Mr Malika akiteta jambo na Abbyd…
Mr Nasor kushoto akiwa na wadau wa Pata Picha
                              Juma , Danta, Malika na Von Gasperl

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako