Monday 10 June 2013

BIFU LA JIDE NA MWANA FA


  Mwisho wa Drama za Jide kwa leo,
naelekea airport.. Vipi mtalipua ndege? If not tukutane 
Nyumbani Lounge BBA Party baadae :)
  Next time msinifate kuomba
chorus si mnaogopa? basi kaeni huko huko. 
Tukifanikiwa msijichekeshe pia


 Masela mavi wote wanaogopa
kupiga picha na Anaconda, Only real niggas


Nazani mpaka hapa amesha pata somo
la kutosha,na ku reveal kwamba you are not alone dada,
let him breath a little!!


Watasanda, kwangu zipo zaidi ya kumi
zote wafuasi wa Mwanafatuma na Rugay


  Baada ya hii ya leo next time
utakuwa na adabu kujibishana na mimi..Ama kitachofuata
ni zile boooooo km alizopigwa Boss wako RG


 Halafu Rugway ushamaliza 
kumponza Mwanafatuma, narudi kwako sasa. 
Lala kwa amani leo kesho naamka na wewe. Mxiiii

kila mtu ana uhuru wa kufanya SHOW cku anayotaka,
m glad hujajib zile tweet za vijembe...mambo ya kike waachie wanawake.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako