Friday 14 June 2013

SIKU ZA MWISHO ZA LANGA NDANI YA JIJI LA TANGA

Langa akiwa na wadau wa Pata Picha,kutoka kushoto Danta, Langa na Qaseem Saad

Kutoka kushoto ni Mtanagazji wa Breeze fm Radio Chodo boy, Langa na Kipuchu
Langa akiwa saloon Tanga town
Langa Kileo akiwa ndani ya studio za Breeze fm Radio Tanga
Langa kileo akipaform Fax night Club Tanga

Mtangazaji wa Breeze fm Radio ya Tanga Wizz mms kushoto akiwa na Langa Kileo
Dox Danta mmoja wa wadau wa PataPicha kushoto akiwa na Langa Kileo enzi za uhai wake
R I P Gangstar Langa

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako