Thursday 20 June 2013

TAZAMA ZILE PICHA ZA KUSIKITISHA WATU WAKIKANYAGANA KUGOMBEA KUMSHANGAA DAVID BECKHAM


Polisi wakiwazuia wanachi waliokuwa wakisogelea eneo alilokuwa anapita Beckham ili wapate kumtazama

Askar wakimsaidia mwenzao aliyejeruhiwea katika tukio la klumpokea Beckham

Ni vigumu kuamini ila ndivyo ilivyotokea nchini china baada ya mamia ya watu kukanyagana na kusababisha watu karibu watano kujeruhiwa mara mchezaji David Beckham  alipotembelea nchini china kila mtu akitaka amuone.
Vurumai hiyo ilitokea jijiniShanghai's alipokuwa ametembelea chuo kinachoitwa Tongji University.e Beckham kama moja ya ziara yake kuipromoti ligi ya china.
David Beckham akipitishwa huku mamia ya watu wakiwa wamejitokeza kumlaki na kusababisha vurumai kubwa iliyiofanya watu kukanyagana
Inasemekana watu karibu 1000 Walikusanyika klutaka kumuona Beckam na polisi walitoa taarifa za kluwepo kwa  maofisa swatatu wa polisi waliojeruhiwa katika tukio hilo.
Police wa kike akiwa amelala chini mara baada ya kujeruhiwa katika tukio hilo.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako