Thursday 6 June 2013

Sugu awapa somo wasanii wa kizazi kipya Tanzania



MBUNGE wa Mbeya mjini na msanii mkongwe wa HIP HOP Joseph Mbilinyi maarufu kwa jina la sugu ametoa njia ya wasanii kuweza kupata maslahi ya kazi zao kwa kuonesha umoja na ushirikiano.

Akizungumza na PATA PICHA sugu  amesema wasanii wanahitaji kuungana  na kujenga kikundi imara kitakochosimamia MASLAHI YAO  na kuondoa  tofauti zao pamoja na matabaka kwenye Tasnia ya Muzuki wa kizazi kipya nchini

Sugu amekuwa ni mmoja wa viongozi wanaopigania haki miliki kwa wasanii Tanzania tangu kupata kwake ubunge wa Mbeya Mjini.


Dox Danta 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako