![]() |
| kutoka kushoto Dagma ambaye alikuwa mchizi wa Ngwear na Marehemu wakiwa ndani ya jezi ya JAH KAYA |
| Marehemu Ngwear akijinafasi na supu ya kuku enzi za uhai wake maeneo yetu ya uswazi na ndiyo sababu kubwa iliyomfanya apendwe na wa kila rika |
| Ngwear akiwa ndani ya gari na Babuu wa kitaa na wanyamwez wengine kama Adam Mchomvu nyuma ya siti ya Ngwear mbele akiwa Squizzer mwenye rasta |
| Cow Obama akipata msosi pembeni yake akipiga stori na Bushoke |
| Ngwear na Chidi Benz walipokuwa studio wakifanya ngoma ya SPIDI 120 |

No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako