Saturday 8 June 2013

Nyoso asaini Coastal Union












Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Simba Juma Nyosso akisaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Coastal Union ya Jijini Tanga. 
Nyosso jana alivunja mkataba na klabu ya Simba na leo hii amekuwa mchezaji wa pili kutoka Simba kujiunga na Coastal, Haruna Moshi Boban alikuwa wa kwanza.
Boban na Nyosso wote wamesaini mikataba ya muda wa mwaka mmoja mmoja.

Failasufa & Danta


No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako