Tuesday 18 June 2013

SOMA ALICHOKIANDIKA MWINYI KAZIMOTO KATIKA UKURASA WAKE WA FACEBOOK KUHUSU MECHI YA STARS NA IVORY COST.


Tunashukuru kwa support yenu jana mlitushangilia sana na sie tulijitahidi kadri ya uwezo wetu bt nazani uzoefu ndo ulituangusha,,nashukuru pia kwa muda wote kua nyuma yangu siku zote japo nlipitia wakati mgumu siku za karibuni,,,nazan ntakua kwenye kiwango changu cha kawaider,,,
kiungo wa Taifa stars Mwinyi kazimoto

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako