Saturday 22 June 2013

UKWELI KUHUSU KIUNGO THIAGO KWENDA MANCHESTER ZIKO HAPA

Habari ambazo ni za kuaminika kutoka kwa mwandishi maarufu na wa kuaminiwa anayeandika habari nyingi za tetesi za usajili za Manchester United na Barcelona  zinasema kiungo mshambuliaji wa timu ya Barrcelona Thiago Alcantara anakaribia kujiunga na Mashetani wekundu wa jiji la Mnchester baada ya timu hizo kukubaliana
Thiago Alcantara akisain jezi ya Manchester United
pia Thiago Alcxantara alionekana akisaini jezi ya Manchester United katika mji huo na kuonesha kuwa dili lake la kwenda kukipiga na klabu hiyo linakaribia kukamilika.
Thiago Alcantara akinyanyua kikombe walichochukua katika fainal ya ulaya chini ya miaka 21
Taarifa zilizopo katika mitandao leo zinasema kuwa tayari Alcantara ameshakubaliana maslahi binafsi kinachongojewa ni dili kukamilika.
Thiargo akishangilia moja ya magoli yake
PATAPICHA linafuatilia habari hizi kwa karibu kuweza kukupatia habari kila kinachotokea katika tetesi na masuala mbalimbali yanayohusu usajili wa kwachezaji barani ulaya.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako