Wednesday 19 June 2013

MSASANI BEACH NA FREE STYLE BATTLE

One the Incredible na Hasan Puchulino
Mzimu kwa Mic
THE INCREDIBLE
Wapiga picha kushoto wakiwa kwenye picha ya pamoja na Muz B
Hapa mwendo wakusambaza kazi kimtaa mtaa..mpaka kieleweke
Nikki Mbishi akiperform msasani beach club
Vipaji vya kuimba na kuchana kwa sasa ni ajira tosha kwa vijana wadau wa huu mziki wana mchango mkubwa sana kuboresha sanaa ya mziki wa kizazi kipya hapa nchini ili vijana waepuke wizi na ujambazi..nakumbuka marehem Albert Mangwea alisema :"Bila ya huu mziki kweli ingekuwa Mziki"

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako