Monday 10 June 2013

BIFU JADY JAY DEE Vs MWANAFA


alzomewa sana huyo kipindi cha eastcoast kasahau tuu,
usicheze na raia, wakikuchukia noma. Alikuwa anakaa uswaz anlala kwa GK
kweli pesa shetani mwanafatum anakugeuka hata 
wewe mhh hatari kumbe naye anasubili prom ya radio fake
basi nae amie TH yao
hehe.kumbe its 4 real...unajua mwanaFAtuma 
he thinks he's in the game but he's realy in the way.... on
14th atajifunza kitu.
team Anaconda..MwanaFatuma, msomi asiejitambua..
When will these kids growup and stand for themselves?!,,,
sasa mtu kama MwanaFatuma nae wa kujilinganisha 
na Jidee?
hicho kimwana FAtuma kinamambo ya
ajabu kweli,cjui hata kimesoma nini?!
  Si hatuna buku za kulipa watu ili 
waku diss , wanaku dis kwa ridhaa yao. We una matajiri 
wenye uwezo wa 50thou na mnasanda
 Team Anaconda is Huge huhitaji 
kusubiri waniimbie RIP
Sipati picha show 
ya Lady Jay Dee tarehe 14...Samahani boss naomba
ruhusa nikashuhudie
  Jamani Mwana FAtuma na
team yake wanasema show ya Anaconda ni
fundraising heee heeee heee. Limited esi
 Wao wanasema
watafunga mtaa, lakini wewe barabara zote za JIJI LA DSM
zitafungwa kupisha show yako

BAADHI YA TWEETS ZA MWANA FA ZIMEFUTWA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako