Thursday 6 June 2013

Picha zaidi za matukio msibani

 Adili akiongea moja kwa moja na Breeze fm Radio 
Afande Sele akitoa neno la shukrani kswa niaba ya wakazi wa moro

Blu na Dox Danta

Keisha, Banana na Ali Bonge

Bango kwa ajili ya NGWEA

Bele9

Picha ya PAMOJA

MKUU WA MKOA WA MOROGORO, Mhe Joel Bendera akiondoka eneo la makaburini mara ya baada ya kumpumzisha Msanii Albert Mangwea na kuweka shada la maua.

B.O.B

Chid na Mdogo wake Shetta

La familia

queen darleen akiwa makaburini

Blu na DAZ

Kala pina



M TO THE P akiondolewa eneo la tukio mara baada ya kumzika msanii mwenzake ambae ndie mtu wa mwisho kuwa na Albert Mangwea kabla ya kifo chake nchini Afrika ya Kusini
 Unadhani mwanaume hana machozi!? Ilikuwa ni huzuni kwa Watu wake Albert....huyu ni Mchiz MOX ambae ameshirikiana na Albert Mangwea kwenye wimbo unaoitwa Demu wangu kibao hicho kilichotamba katika vituo mbalimbali kwa ustadi wao wakupokezana mistari...[Ngwea:" nasema hivi huyu demu ni wa kwangu eh na hapa alipo tayari anamimba yangu..."{Mox : "nakata huyu demu so wa kwako na hiyo mimbo ni kwangu sio yakwako..........."
Kaburi la Baba yake ALBERT Mangwea Dox na Mox
Sir kibla Nature

Wema Sepetu aliwakilisha vema tasnia ya FILAMU kwenye msiba wa Albert Mangwea
 Ray Nae alitia maguu hapa unadhani alikuwa anongea nini na kamanda?
              Snura binti anaetamba na kibao cha Majanga akiwa kwenye hali ya huzuni kihonda makaburini
Hawa ndio walikuwa marafiki wa karibu kwa Ngwea,kutoka kushoto ni GEEZ WA Mabovu na DAZ BABA

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako