Saturday 8 June 2013

Soma ALICHOKIANDIKA KITALE KUHUSU MAMA YAKE SHARO MILIONEA





Kitale kulia akiwa na mshkaji wake




Kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook hiki ndicho alichokiandika msanii Kitale…


Leo ndio zile tunzo za KILIMANJARO mUSiC AwaRD's pande zile za miLimani city, MH! Wimbo wa Sharomilionea cjui utachukua tunzo maana MAMA yke tayari kashawasili DAR bora achukue mama yk nae apunguze machungu. Asipochukua alafu kesho kumsindikiza mama UBuNGo mmmmmh!! Panakuaga mbali pale ubungo.. Lakini atachukua eti.?


 
Dox Danta & Failasufa

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako