Friday 21 June 2013

BREEZE FM RADIO YATOA POLE KWA WAPENZI WA HIP HOP KUFUATIA KIFO CHA MSANII LANGA KILEO

 Hili lilikuwa Tangazo la LANGA alipokuja Tanga kufanya show Fax Night club bado tunakukumbuka brother R.I.P Langa
Wizz MMS ndani ya Studio za Breeze fm radio
Wizz MMS akiwa na tudio za Dox Danta ndani ya studio za Breeze fm radio
Ramadhani Njama cashier wa Breeze fm Radio
Kushoto ni Agness Mambo akiwa na Fetty Danta
REST IN PEACE LANGA
Breeze fm Radio imewapa pole wapenzi wa HIP HOP nchini kwa kuondokewa na msanii nguli wa Hip hop nchini Langa Kileo. Ikumbukwe kuwa marehemu Langa alikuja kufanya show Jijini Tanga kwenye ukumbi wa fax mwanzoni mwa mwaka huu ambapo Breeze ilikuwa wadhamini wakuu wa show hiyo iliyofana sana kwa kuweza kusindikizwa na baadhi ya wasanii wa Tanga kama vile Mwandei na Malogo Band wote kutoka jijini Tanga....R.I.P LANGA KILEO

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako