Tuesday 18 June 2013

MAZISHI YA LANGA KILEO - KINONDONI

Hapo ni nje Nyumbani kwa Kina Langa 
Jeneza la Mchizi wetu Langa Kileo
Kapumzike pema mwanangu Langa
RAFIKI WA KWELI - R.I.P LANGA
Mpiganaji wa Matumizi ya madawa kutoka Kigamboni Sober House akimwongelea Langa KILEO
Vijana wa REGENCY wakitoa salam zao kwenye msiba
Last respect to Langa..M 2THE P
Last respect toka kwa familia
Babuu; "rest in peace mtu wangu"
Dark Master akiwa kwenye majonzi mazito sana ni week moja imepita tangu kumzika mwanachemba mwenzake Ngwea mkoani  Morogoro
Kalla JEREMIAH, unadhani hapa alikuwa anawaza nini!??

Danta mdau wa PATA PICHA akiwa kwenye picha ya pamoja na Mama mzazi wa Langa Kileo
Baba na Mama LANGA KILEO wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Langa
Geta,Rich,Prof na Nikki mbishi
Ridhwan akiwa makaburini kumsindikiza Langa Kileo
Babuu wa Kitaa kushoto akiwa kwenye picha ya Pamoja na Wadogo zake Langa
Upendo kwa ndg wa Langa Kileo kushoto ni Prilly dada wa Bethuel Makundi
Yokoi Stopa the rymz maker
Daz Baba mara baada ya kumzika LANGA KILEO 
Ahmed Ally mmoja wa wadau wa PATAPICHA kutoka Star TV
Ahmed akiwa kazini mahojiano na KALA JEREMIAH 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako