Thursday 17 October 2013

JE INAWEZEKANA KUWA PENNY AMEDATA NAMNA HII MPAKA AVUTE KAYA KUONDOA MAWAZO!?AU NI SKENDO TU!?



Hivi karibumi penzi kati ya DIAMOND na PENNY  linaonekana kuingia mdudu mara baada ya zilipendwa wa Diamond kulitia dosari penzi hilo kwa kudaiwa kurudisha mahusiano yao upya na huku vuthibitisho vikionyesha baadi ya picha ambazo ziliwaonyesha wawili wao wakiponda raha huko HONG KONG.
Kwa tukio hilo yawezekana kuwa imekuwa sababu ya bibie kuvuta kaya (bangi) kama ilivyodaiwa na baadhi ya mitandao na kuweka picha hiyo hapo juu ikimuonyesha Penny akiwa ameshika kitu mfano wa sigara ama kaya!!?

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako