Tuesday 29 October 2013

BENZ YA MADAM RITHA YATEKETEA KWA MOTO

 
Gari aina ya Mercediz Benz inayomilikiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production Watayarishaji wa Shindano la Bongo Star Search Jana Usiku iliungua kwa Moto na Kuteketea yote kama inavyoonekana hapo juu kwenye picha.
Chanzo cha Kuungua kwa gari hiyo ya kifahari bado haijajulikana.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako