Wednesday 2 October 2013

MAENDELEO YA KISAYANSI: GARI INAYOPAA NA INGINE IKITEMBEA BAHARINI

 
  
  


Gari hilo limetengenezwa na kampuni ya Terrafugia kwa mara ya kwanza duniani imetengeneza gari yenye uwezo wa kupaa. 
Gari hiyo ina mabawa ambayo itaisaidai wakati wa kupaa na kutua pia ina betri yenye uwezo wa kuchajiwa.
 
  
  
  
  
  

Hilo ndilo gari lililoweka rekodi kwa kutembea majini na nchi kavu kwa speed kali zaidi linafahamika kwa jina la Amphibious Vehicle au watercar

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako