Tuesday 15 October 2013

RIHANA ATEMBELEA MBUGA ZA WANYAMA SOUTH AFRIKA


According to MTV BASE ni kwamba Mrembo Rihanna (RiRi) kwenye show aliyoifanya juzi Johannesburg, inaaminika kwamba ameweka rekodi kwa kuwa msanii wa kike kupata watu wengi kwenye uwanja wa FNB Jumapili ya 13 October,2013 ambapo idadi aliyoipata ni ya zaidi ya watu elfu tisini (90,000)
October 16 2013 Rihanna (RiRi) atafanya show huko Capetown South Africa ambapo wakati akiwa bado S.A ameendelea kutokelezea kwenye picha kadhaa kama hizi akiwa na Wanyama mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako