Thursday 17 October 2013

WEMA NDANI YA VIATU VYA DIAMOND

Takribani week sasa habari kubwa kuhusu mastaa Bongo ni story ya Diamond na Wema, kurudiana
ambapo habari hizo bado ni tata kutokana na wahusika wote kutosema chochote kuhusu mahusiano yao.
Japokuwa kuna viashiria vingi vinavyozidisha utata wa mahusiano ya wawili hawa waliowahi kuwa wapenzi zamani.
Wakati wakiendelea kutuchanganya, kama unakumbuka tuliweka baadhi ya picha zilizowaonyesha wema na Diamond wakiwa ndani ya China.
Wema nae alipost picha Ikionyesha amevaa viatu kama alivyoonekana amevaa Diamond, utata siyo??

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako