Thursday 17 October 2013

UTAMU NDANI YA NEW MAISHA CLUB UNAENDELEA IJUMAA HII


Baada ya uzinduzi kufanikiwa kwa kiasi kikubwa na kukonga nyoyo za wapenzi wa burudani Tanzania Xtreme Deejayz wiki hii wanaendeleza burudani ya kipekee new maisha club Dar, akiongea na blog hii ya burudani msemaji mkuu wa Xtreme Deejayz Hemed Kavu (HK) alisema kila ijumaa tutakuwa new maisha club Dar na tulichokifanya siku ya uzinduzi ilikuwa ni rasharasha mvua kamili ni ijumaa hii tunawakaribisha watanzania kwa wingi sana kuja kupata burudani ya kiwango cha kimataifa. kwa kiingilio cha buku 10 tu.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako