Wednesday 16 October 2013

THE GAME ANUNUA CHENI 2 ZA GHARAMA YA MILIONI 64


Msanii wa zamani wa kundi la G-Unit ambaye wiki hii alitangazwa kusaini mkataba mnono na kundi linaloivuma kwenye anga za muziki wa kufoka foka Cash money Record (CM) The Game, amenunua cheni mbili zenye thamani kubwa.
Katika kuweka kumbukumbu kwenye maisha yake, Game alijinunulia na kumnunulia C.E.O wa Cash Money, Birdman cheni  zinazofanana zenye nembo ya Cash Money, yenye thamani ya dola 40,000 ambayo ni sawa na shilingi millioni 64,360,000, moja ikiwa ni gold na nyingine platnum.
Kampatia cheni moja Birdman kama ahsante kwa kumkaribisha katika familia ya Young Money Cash Money Records. 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako