Thursday 24 October 2013

MANENO YA DIAMOND KUHUSU FIESTA




Diamond Platniumz kupitia website yake ameandika maneno haya leo kuhusiana na tamasha la fiesta
 "Kwa heshima ya Mashabiki zangu Nchi na Taifa langu
 ilinibidi nirudi Maalumu kabisa kwajili ya Shoo hii ya
 Fiesta Jumamosi pale Leaders Club ili
 kuwakaribisha wageni zetu toka nje... lakini
 pia kuwadhihirishia Wageni Hao kuwa Tanzania si
 ya legelege imebarikiwa Wasanii
 na wenye uwezo...! Tukutane pale leaders on saturday Madau wangu..."
 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako