Friday 4 October 2013

APPLE YAIPITA COCACOLA KWA KUWA BRAND UBORA DUNIANI

 

Ni kipindi kirefu sasa tokea kampuni ya Coca Cola kuwa ni kampuni bora zaidi lakini kwa takwimu mpya zinasema kuwa kampuni ya iPhone, Apple, ndiyo 
kampuni bora zaidi duniani kwa sasa.
Kampuni ya coca cola, imetupwa mpaka nafasi ya tatu wakati nafasi ya pili ikichukuliwa na kampuni ya Google, kwa nafasi za dunia.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako