Monday 21 October 2013

UTARATIBU WA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JULIUS NYAISANGAH

Habari kutoka kwa mwakilishi wa Familia ya Julius Nyaisangah ni kuwa Mwili wa Marehemu Julius Nyaisangah utaagwa nyumbani kwake Morogoro Jioni ya Leo kisha utasafirishwa hadi Dar es Salaam na kuhifadhiwa katika Mochwari ya Muhimbili kisha kesho itafanyika misa katika kanisa la Muhimbili kisha utasafirishwa kuelekea nyumbani Mara Tarime kwa Ndege Kesho Mchana.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako