Saturday 26 October 2013

DAVIDO ATINGA MAISHA CLUB USIKU WA KUAMKIA LEO

Mwanamuziki wa Kimataifa anayetarajiwa kufanya onyesho leo ndani ya Viwanja vya Leaders DAVIDO jana usiku alijumuika na masuperstar wengine katika Club pendwa na ya kimataifa pia NEW MAISHA CLUB akifurahia uwepo wake ndani ya Dar es Salaam, Tanzania.
DTV wataalam wa Burudani ndani ya Bongo na Afrika mashariki kwa Ujumla walipata nafasi ya kuongea naye mambo mbalimbali na hii ni Drop tu aliyoipiga Usiku huo.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako