Wednesday 16 October 2013

KIKWETE AHUDHURIA SWALA YA IDD MSIKITI WA MAAMUR UPANGA


Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislaam muda mfupi baada ya kushiriki Swala ya EID iliyofanyika katika msikiti wa Maamur Upanga Jijini Dar es Salaam Leo Asubuhi

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako