Wednesday 2 October 2013

UJUMBE WA PENNY KWA RAIS WA WASAFI DIAMOND

Juu ni ujumbe aliouandika mpenzi wa staa wa Bongofleva Nasibu Abdul ‘Diamond’, Peniel Mungilwa ‘Penny’ kwa Diamond katika siku yake ya kuzaliwa. Penny ameandika ujumbe huo pamoja na picha hapo juu katika akaunti yake ya Instagram.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako