Mhe. Abdulazizi Abood Mbunge wa Morogoro Mjini ambaye pia ni Mmiliki wa Kituo cha Radio na Tv Abood Media akizungumza na Rafiki wa Karibu wa Marehemu Misanya Bingi pamoja na Meneja Masoko wa Abood Media Abeid Dogoli |
Tumie Omary mtangazaji wa Radio One (aliyetokea Abood Radio) akiwa kwenye msiba na Hilda Singano mtangazaji wa Radio Abood |
Padre akiongoza misa ya Kumwombea Marehemu Julius Nyaisangah |
Padre akiongoza misa ya Kumwombea Marehemu Julius Nyaisangah |
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Mashishanga, akiwa na Mstahiki Meya wa Morogoro Mjini, Amir Nondo, Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Antony Mtaka |
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa na majonzi nyumbani kwa marehemu Julius Nyaisangah |
Umati uliokusanyika nyumbani kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mwakilishi wa Waandishi wa Habari Morogoro akitoa Rambirambi ya Shilingi Laki Tatu kwa Mke wa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mstahiki Meya wa Morogoro Amir Nondo akitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mkuu wa Mkoa Mstaafu Steven Mashishanga akitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro Jarvis Simbeye akitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Padre akitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mfanyabiashara maarufu Verus Bitatio akitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Baadhi wa waandishi wa Habari wakitoa Heshima zake za mwisho kwa Marehemu Julius Nyaisangah |
Mjane wa Marehemu Bi. Leah akitoa heshima zake za mwisho kwa Mumewe |
Mpwa wa Marehemu akitoa heshima zake za mwisho |
Mandhari nyumbani kwa marehemu wakati wa Jana Mchana |
Wasifu wa Marehemu Kwa Ufupi |
Mbunge wa Morogoro Mjini na Mmiliki wa Kituo cha Tv na Radio Abood Media, Mhe. abdulaziz Abood Akitoa heshima zake za mwisho kwa Marehemu |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako