Thursday 24 October 2013

DOGO JANJA - SIJAFUKUZWA MTANASHATI BALI NIMETOKA MWENYEWE



Janjaro msanii kutoka Arusha lakini makazi yake yapo Dar amefunguka na kusema kuwa hajafukuza na Ostaz Juma Namusoma kwenye kampuni yake ya Mtanashati bali amejitoa mwenyewe kwa hiari yake.

Janjaro amesema amechoka na matendo tu ya Ostaz na alikuwa tu akiyavumilia lakini kwa sasa ameshakuwa mkubwa so nataka nikae kivyangu vyangu nifanye mambo yangu kama wasanii wengine ambao hawana meneja na wanafanya poa.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako