Wednesday 9 October 2013

USHAHIDI WA DIAMOND KULA RAHA NA WEMA MALAYSIA

 
Yamesemwa mengi na kuongelewa mengi kuhusu Diamond kurudiana na Msichana wake wa Zamani Wema Sepetu wakati yuko kwenye safari yake ya Kikazi Malaysia.
 
Diamond Mwenyewe amekana jambo hilo kwenye Website yake kuwa hajarudiana na Wema ila PATAPICHA limetumiwa picha za wawili hao wakiwa kwenye pozi tofauti Mchini Malaysia na moja ya pozi hizo wakiwa na nguo za Kulalia tu. 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako