Tuesday 15 October 2013

KALA JEREMIAH APEWA MKATABA NA PESPI


Kala Jeremiah msanii mwenye tuzo 3 za hip hop kutoka Kili Music Award 2013 Wiki ilyopita amepata mkataba wa miezi 6 kutoka kampuni ya PEPSI kama balozi wa soda hiyo. Kala amesema mkataba huo ameufurahia sana na amejisikia faraja sana. Sasa tutaanza kumuona kwenye matangazo ya Pepsi pamoja na mabango ya barabarani.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako