Tuesday 29 October 2013

TAMASHA KUBWA LA INJILI, DESEMBA 8, 2013

 

-KIPINDI CHA SIFA ZA USHINDI KINAKULETEA TAMASHA KUBWA LA INJILI LITAKALO FANYIKA VIWANJA VYA USTAWI WA JAMII,KIJITONYAMA!!!

-TAREHE 8/12/2013 Kuanzia Saa Tano Asubuhi hadi saa Kumi na Mbili

-WAIMBAJI WAKUBWA KAMA VILE BAHATI BUKUKU,FROLA MBASHA,NEEMA GASPER,ROSE MUHANDO NA PAMOJA NA KWAYA ZAIDI YA HAMSINI (50) ZITAKUWEPO KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI

Tazama kipindi cha sifa za Ushindi ndani ya DTV Upate Kufahamu Meengi KUHUSIANA NA Tamasha la AMANI NA UPENDO Kuanzia saa moja (7:00 am) asubuhi

Burudika.Kisasa

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako