Saturday 12 October 2013

SNURA AANGUKA JUKWAANI KWENYE UZINDUZI WA LIVE DJ WITH DA DRUM - MAISHA CLUB

 
Usiku wa Kuamkia Leo Msanii anayekuja kwa kasi katika Tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya Snurah Sex"Mamaa Majanga" alipanda jukwaani kuwapa Sapoti DVJ Majay "ADUI", Mzungu Mnyama na Hyperman Hk kwenye steji baada ya kuimba wimbo wake akazidiwa na kukata miuno hadi kuanguka chuni baada ya kukosa Balance Stejini.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako