Tuesday 14 January 2014

TETESI KUTOKA IKULU, BARAZA LA MAWAZIRI


Habari zilizozipata hivi punde kutoka Ikulu, zinasema Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kutangaza baraza la Mawaziri kesho. Katika baraza hilo Rais Kikwete atamteua Edward Lowassa kuwa Waziri wa Ulinzi na Samwel Sitta kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.
Taarifa kutoka Ikulu zinasema baraza la Mwaziri litakuwa dogo ukilinganisha na hili lililopo huku Asha-Rose Migiro akitupwa nje katika baraza hilo.
Mtoa taarifa anasema ameona nyaraka ya orodha ya baraza la Mawaziri na kila baada ya muda atatoa kilichomo kwenye orodha hiyo na sisi bila kusita tutawaletea moja kwa moja.
SOURCE: MWANAHALISI FORUM  

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako