Friday 17 January 2014

JAGUAR ATUA DAR KIMYA KIMYA


Msanii maarufu na mwenye mafanikio Nchini Kenya na Afrika mashariki kwa ujumla, Jaguar anayetamba na Nyimbo ya kigeugeu, ameingia leo jiji Dar es Salaam kwa matembez maalumu.
Bado haijajulikana ujio wa ziara yake ila hajakuja kufanya Shoo hapa Tanzania.
 

Katika Mitandao ya kijamii ameandika baadhi ya jumbe zikionyesha Yupo Dar na Producer wake Philip Makanda, Lugz, Philo wadosi na Maxi (akimaanisha Crew yake nzima) 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako