Wednesday 8 January 2014

GHARAMA ZA VIDEO YA NUMBER ONE RMX HIZI HAPA


Video mpya aliyoiachia Naseeb Abdul “Diamond” inayokwenda kwa jina la Number One Rmx baada ya kuachiwa Mwishoni mwa wiki iliyopita Diamond ameweka wazi kuhusu gharama za video Hiyo. 
Diamond anasema gharama ambazo ametumia nyingi ikiwemo Dola 25,000 (ambazo ni millioni 40 za kitanzania) ambayo hazijumuishi usafiri wala accommodation walivyokua huko Nigeria.
 
Diamond amelipa kiasi hicho cha dola kwa Director Clarence Peters wa Nigieria kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako