Friday 10 January 2014

MTOTO WA MIAKA 6 ANAINGIZA MILIONI 51 KWA MWEZI


Mtoto mwenye umri wa miaka 6 ambaye anahusika kwenye series ya comedy ambayo itaanza kuonekana hivi karibuni analipwa dola 8,000 kila wiki akitokea kwenye episode moja.
Kutokana na mkataba wake ambapo atahusika kama mhusika mkuu kwenye season ya kwanza ya show mpya ya Disney, August Maturo atakua anaingiza dola dola 32,000 kila mwezi ambazo ni karibia zaidi ya milioni 51.
 
Show hiyo imeshakuwa proved kwa ajili ya season nyingine ambapo anaweza ku-sign mkataba wa pesa nyingi zaidi ya anazopata hivi sasa.
Show hiyo ambayo itakuwa inaonekana kwenye Disney Channel inaitwa Girl Meets World.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako