
Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki.

Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.

David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae.

No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako