Tuesday 14 January 2014

RONALDO ATAMBA MBELE YA MESSI NA RIBERY

C RONALDO
MCHEZAJI wa Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, Christiano Ronaldo ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Dunia 2013 (Ballon d'O 2013) usiku huu jijini Zurich, Switzerland na kuwabwaga wenzake Lionel Messi na Frank Ribery.
C RONALDO KUSHOTO AKIWA NA NADINE ANGERER
Huku Golikipa wa Ujerumani kwa upande wa wanawake Nadine Angerer akishinda nafasi ya mchezaji bora wa kike, Zlatan Ibrahimovic akishinda tunzo ya Goli bora la mwaka maarufu kama PUSKAS
ZLATAN IBRAHIMOVIC

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako