Wednesday 8 January 2014

DEMU WA PREZZO AMTAFUTA HASHEEM THABEET MAREKANI


Demu wake prezzo anayejulikana kwa jina la Stella au unaweza kumuita Chagga Barbie alikua kwenye game ya Oklahoma City Thunder vs a Minnesota Timberwolves huko Marekani hivi karibuni.
Chagga Barbie alikuwa akimtazama kijana wa kitanzania Hasheem Thabeet akicheza kikapu, huko nchini Marekani katika Timu ya Minnesota Timbwewolves.
Katika Mchezo huo Thunders waliwafunga Minnesota Timber wolves 115 kwa 111 na baada ya  mechi hiyo stella alipata nafasi ya ku-hang pamoja na kupiga picha na Hasheem Thabeet

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako