Sunday 12 January 2014

SAMSUNG KWENYE MKUTANO NA WAFANYABIASHARA WA VIFAA VYA UMEME WA KARIAKOO NDANI YA PEACOCK HOTEL DAR ES SALAAM

Kampuni ya Simu na vifaa vya Nyumbani ya SAMSUNG imefanya mkutano na wafanyabiashara wa simu na bidhaa za nyumbani wa kariakoo ndani ya PEACOCK HOTEL Jijini Dar es salaam
MMOJA KATI YA WAFANYABIASHARA ALIYEONDOKA NA ZAWADI YA SAMSUND TV LED FLAT SCREEN
Katika mkutano huo kampuni ya Samsung imeweza kuelezea mikakati mbalimbali yakuendeleza biashara na kukuza mitaji kwa wanunuzi wao wanaonunua bidhaa kupitia wasambazaji wa Samsung Tanzania kama vile Super Telecom na Express.
MD WA SAMSUNG MR JUNG KULIA AKIMKABIDHI MSHINDI ZAWADI YAKE SAMSUNG TV FLAT SCREEN
AFISA MASOKO NA MAUZO MR SYLVESTER MANYARA KULIA AKIMPONGEZA MFANYABIASHARA ALIYESHINDA TV FLAT SCREEN
HAPA DROO IKIENDELEA KUPATA WASHINDI

Vile vile wafanya biashara 2 waliweza kujinyakulia zawadi za TV za Samsung flat screen kwenye droo iliyochezeshwa wakati huo wa mkutano kwa wale wageni waalikwa ambao ndio wafanyabishara wa kariakoo huku kila mmoja aliyefika kwenye mkutano huo alipata zawadi ya DVD ya Samsung pamoja na tshirt.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako