Thursday 23 January 2014

DUMILA MARA BAADA YA MAAFA KUKATIKA KWA DARAJA LA BEREGA

FOLENI YA MAGARI BAADA YA KUKATIKA KWA DARAJA LA BEREGA AMBALO NDIO KIUNGANISHI KATI YA MOROGORO NA DODOMA
ABIRIA WAKIENDELEA KUSUBIRI BILA MATUMAINI YOYOTE KUWEZA KUFIKA SAFARI YAO KUELEKEA DODOMA,SINGIDA, MPAKA MWANZA.
Hali bado ni ngumu kwa wasafiri wa kuelekea kanda ya kati mpaka wa wale wa kanda ya ziwa kupitia njia ya Morogoro, hivyo serikali inaombwa kuchukua hatua za haraka kuweza kunusuru abiria waliolala njiani na wengine waliamua kurudi morogoro mjini ili kusubiri daraja hilo litengenezwe wakati wapo wengine waliamua kupitia njia ya kilosa lakini nako hali si shwari.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako