Sunday 12 January 2014

MWANAFA AANZA MWAKA 2014 NA MKOKO MPYA


Hamis Mwinyijuma "MwanaFA" ameuanza mwaka 2014 kwa mbwebwe za ajabu baada ya kuingiza gari mpya aina ya Toyota Mark X.
Picha ya gari hiyo kwa mara ya kwanza ime-postiwa na Mmiliki wa Showroom maarufu hapa Dar es Salaam ambaye pia ni msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, maarufu kama Jaffarai ambapo aliandika
"Ma Nigga @ mwanafa came to shower….real niggaz supports eral nigga,"
baadhi ya picha zikioyesha gari hiyo ikioshwa huku ikiwa ina chassis number pekee "GRX120 0009631"
MwanaFa naye alipost picha ya gari hiyo kwenye mtandao wa kijamii Instagram na kuandika "Shower … kwa @ jaffaraijaffarhymes."  

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako