Monday 6 January 2014

MATUKIO YALIYOPATIKANA MARA BAADA YA BOTI YA KILIMANJARO KUTAKA KUZAMA HUKO ZANZIBAR ENEO LA NUNGWI






Mpaka sasa taarifa zilizotufikia ni kwamba watu takribani 27 walitupwa ndani ya bahari baada ya boti hiyo ya kilimanjaro kunyanyuliwa kwa nyuma na wimbi kubwa la maji, na watu 3 wamefanikiwa kuokolewa hai huku miili ya abiria 5 ikitolewa ndani ya maji.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kupitia Patapicha ili kuweza kujua ni nini kinaendelea juu ya tukio hili la kusikitisha..
PATAPICHA inawapa pole wale wote walioguswa kwa namna moja ama nyingine katika tukio hili.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako