Wednesday 8 January 2014

ROSE NDAUKA AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE


Mwanadada ambaye ni star wa Bongo Movie ndani ya Tanzania, Rose Ndauka amejifungua mtoto wa Kike katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili.
Rose amejifungua mtoto huyo kwa Operation na wote wapo salama wenye afya (mtoto pamoja na mama)
Akizungumza baada ya kuwa mama, Rose Ndauka alisema kwa kipindi hiki ataweka kando tasnia ya Movie ili aweze kumlea vizuri mtoto wake.
PATAPICHA inakupa hongera na kukutakia mafanikio katika kumlea mtoto 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako