Wednesday 8 January 2014

RIHHANA AONYESHA HISIA ZAKEKWA MYCHAL KENDRICKS


Mwanadada Rihhana kama siku hizi anavyojiita kwenye mtandao wa kijamii Instagram, Badgalriri ameweka wazi hisia zake juu ya huyu jamaa ambaye ni mchezaji wa American football.
Siku ya Jumatatu alipost picha ya mchezaji wa Philadelphia Eagles “Mychal Kendricks” na kuandika “Is it Monday?…coz chhh..#MCM”.
MCM maana yake ni Man Crush Monday na mitandao mingi huko Marekani imeandika huenda Rihanna akaanzisha uhusiano na mchezaji huyu kutokana na kuwa na historia ya ku-date na mchezaji mwingine American football.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako