Tuesday 21 January 2014

KUSIMAMISHWA NA KURUDISHWA KWA VIJANA WA XXL NI MCHEZO WA KUIGIZA AU NDIO ADHABU ZA KI 'CLOUDZ'

Zilikuwa takriban siku 2 ambapo vijana hawa 3 hawakusikika kwenye kipindi cha XXL CLOUDS FM huku mambo mengi yakizungumzwa kuwa wamepewa adhabu ya kinidhamu na mengine mengi lakini teyari wamekwisharudi hewani huku kukiwa na minong'ono ya hapa na pale.
Mpaka sasa bado wadau wengi wako njia panda kuweza kujua mkabala wa Clouds fm, vile vile Diva wa Ala za Roho nae alikutwa na msala huo lakin nae amekwisha rudi hewani..nini kinaendelea ni maoni yako yanaweza kusaidia

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako