Monday 23 December 2013

YANGA YASITISHA MKATABA WA KOCHA WAKE BAADA YA KIPIGO TOKA KWA SIMBA JUZI


Habari mpya inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii hivi sasa ni kuhusu kocha mkuu wa Yanga.
Habari zinasema kwamba uongozi wa timu ya Yanga umesitisha mkataba wa kocha wake mkuu Ernie Brandts ikiwa ni siku 2 tu tangu timu hiyo ifungwe na Simba.
Kocha huyo ndiye aliyeiongoza Yanga kwenye mechi mbalimbali ikiwemo ambayo Simba walirudisha magoli matatu dhidi ya Yanga na mechi ya Mtani Jembe ambayo Yanga ilifungwa 3 kwa 1.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako